Unaweza kuwa na furaha

kila siku kwa siku 100?

time-button-sw
71_2.png_2749x2733

Nini?

 

tunaishi kwenye dunia ambayo ratiba zilizojaa mambo mengi zimekuwa vitu vya kujivunia. Wakati kasi ya maisha inavyozidi kuongezeka, hakuna muda wa kutosha kufurahia kipindi cha sasa hivi. uwezo wa kuthamini kipindi cha sasa, mazingira na wewe mwenyewe katika hicho kipindi, ndiyo msingi wa daraja kuelekea uzoefu wa furaha ya muda mrefu wa binadamu yeyote.

 

71% ya watu wamejaribu kufanya changamoto, lakini wameshindwa wakisema kukosekana kwa muda ni sababu kuu. hawa watu hawakuwa na muda kuwa na furaha tu. Je wewe?

Ni kwa Namna Gani? Ni rahisi sana!

  

Kila siku wasilisha picha ya kitu kilichokupa furaha!

 

inaweza kuwa kitu chochote kama, kutokana na kukutana na rafiki au keki tamu uliyoonja kwenye cafe, au kutokana na kufika nyumbani baada ya siku ngumu au kitendo cha wema uliweza kumfanyia mtu usiyemjua.

 

#100happydays inakupa wewe changamoto-sio mtu mwingine.

 

sio mashindano ya furaha wala mashindano ya kujivunia. ukijaribu kuridhisha/kuwafanya wengine wawe na wivu kupitia picha zako-utakuwa umeshindwa bila hata ya kuanza. na wazo hilo hilo kwa wao wanaotaka kudanganya.

kwa hiyo kwanza, jisajili kwenye mashindano >hapa<, kisha chagua jukwaa ulipendalo kwa ajili ya kuwasilisha picha zako. unaweza kuamua mwenyewe kuhusu faragha ya ushiriki na picha zako za furaha.

 

  • tuma au gawa picha yako kupitia facebook, twitter au instagram ukiandika alama ya reli #100happydays
  • unaweza kutunga maneno yako mwenyewe yatakayoendana na picha yako ili kupunguza utangazaji. (lakini usisahau kutuambia jinsi gani kupata picha zako;) )
  • tuma picha zako kwa barua pepe kwenda [email protected] keupuka utangazaji wowote.

uko tayari sasa! :)

mini-prints-main1

kwa nini ningefanya hivyo?

 

watu waliofanikiwa kumaliza changamoto hii wamedai Kufanyika kwa yafuatayo:
-kuanza kuona kinachowapa furaha kila siku;
-kuwa na hali njema zaidi kila siku;
-kupata sifa zaidi kutoka kwa watu wengi zaidi;
-kutambua jinsi gani wana bahati ya kuwa na maisha waliyonayo;
-kuwa na matumaini mema zaidi;
-kupendana na mtu wakati wa changamoto.

 

Visit www.100happydays.com/done, tell us the story of your challenge and get 100 happy moments printed. Voilà!

uko tayari?

  

Interested  In  Participating  In  The  Positive  Psychology  Experiment?